Hopes high as Dart services finally kick off

KUTAZAMA VIDEO YAKE BONYEZA
HAPA CHINI▼▼


PICHA ZAKE ZOTE AKIWA MTUPU BONYEZA
HAPA CHINI▼▼







transfer

Baada ya kuwepo kwa mvutano mkali kati ya serikali na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) 25 Novemba 2015 mwaka jana juu ya nauli za mabasi yaendayo haraka na kupelekea Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuingilia kati hatimaye leo Mei 9 nauli hizo zimetangazwa rasmi.

1. Wanafunzi 200/=
2. Feeder 400/=
3. Trunk 650/=
4. Trunk/Feeder 800/=

ufafanuzi,,,,

1. WANAFUNZI INAELEWEKA.

2. TRUNK Sh. 650/=  Ni pale utakapokuwa umepanda Basi la DART linalopita kwenye Njia maalumu.Mfano Kuanzia Kimara – Kivukoni, Kimara- Kariakoo, Moroco – Kivukoni, Morocco – Kariakoo. Hii haijalishi unapita vituo vingapi au unashukia kituo gani kama ilivyo kwenye Daladala.

3. Feeder Sh. 400/= Ni pale utakapo panda Basi la DART ambalo linafanya kazi nje ya Mfumo (Barabara Maalum za DART). Mfano Kimara – Mbezi.

4. Trunk/Feeder sh. 800/= hapa ni pale utakapo tumia Aina zote za Usafiri Kwa kuunganisha Mfano Mbezi Kimara Halafu Kimara Posta.

KWA NAFASI ZA KAZI POPOTE TANZANIA, BONYEZA
HAPA CHINI▼▼

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
[3.00 MB]VIDEO YA ALIKIBA AKIBANDUANA NA JOKATE, BONYEZA
HAPA CHINI▼▼



0 comments: