Rest In Peace ---Tanzania comedian =>>KINYAmBE..>>
HAPA CHINI▼▼


HAPA CHINI▼▼


May 11 2016 msanii wa filamu za uchekeshaji maarufu kama Kinyambe alifariki dunia akiwa katika hospitali ya mkowa wa Mbeya, Kinyambe
alifariki kwa kuugua kwa zaidi ya miezi nane na ugonjwa uliokuwa
unamsumbua ni pafu la upande mmoja kushindwa kupumua vizuri. Kwa mujibu
wa baba mzazi wa marehemu Petro Lugendelo Nsemwa
“Kinyambe
amefariki na kuacha watoto wawili na mjane ambaye ni mjamzito
anatarajia kujifungua mwaka huu, amefariki baada ya kuugua kwa zaidi ya
miezi sita toka arudi kwao Mbeya akitokea Dar es Salaam, Kinyambe
amepishana siku kadhaa tu na mwanae wa mwisho Bray mwenye umri wa miaka minne aliyefariki kwa kuumwa tumbo”
HAPA CHINI▼▼
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
HAPA CHINI▼▼


0 comments: